Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuh betting ngumu sana. Yaani leo timu zote zinaenda na hela zetu hivi hivi. Hii mitimu sijui inachezaje yaani. Ngoja nilale tu.
 
Ni Tanzania dhidi ya Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ kesho halafu Mwanetu DAHANE kapewa tena mechi ya kesho WananguπŸ˜€
 
Hakuna cha kufanya muhindi kila tukitoa kichwa tunakutana na rungu ni balaa
angalia Celtic alivyotufelisha jana wakamaria.

usenge wa cups na ligi za mtoano zenye legs mbili.

cups: wa full time win weshalia sana. timu inacheza bila wasiwasi, inajua kuna extra time.

ligi za mtoano zenye legs mbili: umeipa timu full time win. nayo inacheza bila wasiwasi inajua itafanya kweli leg ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…