Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Kampuni ambayo inaleta cashout kwa mawenge yaani muda mwingi cashout not available😂Mbona iko poa ipo na machaguo mengi pia mzamini wa simba kwaiyo pesa ukibet ipo sehemu salama sana
Mmh kweli?alichezaje aisee,maana mimi nawekewa limit ya ushindi m132Wakuuu kuna mwanangu hapa dah kala bilion 2 na m700.
Sportybet toka saa kumi jioni.
Haamini yani.
Hakuna kama sportybet😂Mbona iko poa ipo na machaguo mengi pia mzamini wa simba kwaiyo pesa ukibet ipo sehemu salama sana
Niache kutumia Sportybet nikahangaike na betway!!!???😂Mbona iko poa ipo na machaguo mengi pia mzamini wa simba kwaiyo pesa ukibet ipo sehemu salama sana
Betway ni takatakaNiache kutumia Sportybet nikahangaike na betway!!!???
SIku utayotumia Sporty utanielewa
Wamepindua mezapale Italia - Serie A. baada ya kuona timu 4 (AC Milan, Juventus, Napoli na AS Roma) zinagombania nafasi ya kwanza, na zote zina point zinazokaribiana.
nikaona nimbetie Napoli kwasababu anacheza na timu laini ukilinganisha na wenzake wana mechi ngumu.
Italy ni Italy tu. hata timu iwe na mechi rahisi vipi, siyo ligi ya kuiamini. Napoli anaongozwa huko, hana on target hata moja na yuko home.
ligi ya kidwanzi hii
View attachment 3483697
BET OF THE DAY ⚽
Code👉 2UM2C
📌 Jisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉TIPS2424 Kisha Deposit Upate Bonus Ya 300%.
Jisajili PariPesa Hapa⤵️
https://paripesa.bet/tips2424
https://paripesa.bet/tips2424
✅Promo Code👉 TIPS2424
App Link: https://paripesa.bet/tips2424app
Mafi yakeNeno moja Kwa Captain Tesha wa -Barcelona?!
View attachment 3483965