Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hodi hodi humu....nataka niingie mazima humu, haiwezekan kondakta wa daladala apate milioni 32 halafu Mimi nimekaa kizembe E. nipeni hints chapu ni download app Gani nzuri ya betting...baada ya hapo nikojoleeni mikeka yenu ..mamaeh ..
 
Hivi sportybet kuna hitilafu ya mtandao au ni kwangu tu? Naona nawekewa game ambazo zijaziweka kwenye mkeka halafu zipo full time
 
Hodi hodi humu....nataka niingie mazima humu, haiwezekan kondakta wa daladala apate milioni 32 halafu Mimi nimekaa kizembe KUMAMAYE. nipeni hints chapu ni download app Gani nzuri ya betting...baada ya hapo nikojoleeni mikeka yenu ..mamaeh ..
😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…