Hizi virtual huwa unacheza zikiwa live ?
Hizi virtual huwa unacheza zikiwa live ?
Nipe trick za kushinda virtualVirtual sio real games so hakuna live
Ni kama mpira wa maroboti,unacheza ndani ya sekunde una matokeo
Ipo wapiHii nimejilipua nimeweka 10,000
Nipe trick za kushinda virtual
nimepitia games za leo. Ila naona mapicha picha tu.
Kwenye code sportybet. Odds 10-20 . Mechi ziwe 20-30.
Naomba anisaidie nione naanzia wap.
Maana sielewi. Naona tim nying za leo ni kama zinalingana viwango
tembea na doble chancenimepitia games za leo. Ila naona mapicha picha tu.
Kwenye code sportybet. Odds 10-20 . Mechi ziwe 20-30.
Naomba anisaidie nione naanzia wap.
Maana sielewi. Naona tim nying za leo ni kama zinalingana viwango