Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wewe acha mzee yaani mm najua tayari nimechukua hela maana nilikua namsubiri Sunderland tu ***** nawahi SPORTYBET kucheki hela naona Sparta 1:1
Noma sana asee .... Sunderland livyopigwa, ajax, n spartak Moscow nikasema basi tena acha nipigie keupe na kamdudu nikalale.... maana wote niliwapa double chance .... Mara paaap ajax kachomoa ..spartak Moscow kaweka , Sunderland karudi ajax karudi...ohoooo dakika 3 mbele ajax kawekwa Cha pili... Sijakaa vizuri spartak Moscow kapinduliwa ...ila kubeti.... Ni uwekezaji pasua kichwa sanaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…