Hii mkuu hata moyo wako unakataa option ngumu hiziπUCL..
Zimetoa zoteπ€£π€£π€£
Haya chagua first half over 0.5
Option ya pili gg
Option ya tatu over 2.5
Option ya nne HOME OR AWAY
Or No any team to score 3 in Row
Stuttgat goli linakataliwaGalatasaray anataka kutuaminisha kua game yake ni nyepesi leo
Acha tu mkuu betbuild ingekua ya maana sana hiyoZimetoa zote
Mpira umeangalia lakini au unachungulia live score ni sawa kafungwa lakinj kahandle mchezoππππumeona anavyo buluzwaπππ
Mkamaria sisi tunataka matokeo mkuu mambo ya alipiga chenga nzuri akakosa kwamba wamefungwa lakini wamejitahidi tuachie taifa starπMpira umeangalia lakini au unachungulia live score ni sawa kafungwa lakinj kahandle mchezo
Sawa leo wakamaria mmemkataa maniyuuu kabisaMkamaria sisi tunataka matokeo mkuu mambo ya alipiga chenga nzuri akakosa kwamba wamefungwa lakini wamejitahidi tuachie taifa starπ
Leo ana score ka goli kamoja hawezi kutangusha mara zoteSawa leo wakamaria mmemkataa maniyuuu kabisa
Inaitwa kufa kisabuni waswahili wanasemaUkitaka kujua betting ni ngumu hebu fikiria kabla ya game kumuua Muua kibonde Man U odd 3 saafi kisha tia mzigo uone kama nafsi yako itakukubalia ππππ
Kashafungwa hukoππUkitaka kujua betting ni ngumu hebu fikiria kabla ya game kumuua Muua kibonde Man U odd 3 saafi kisha tia mzigo uone kama nafsi yako itakukubalia ππππ