Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Mkuu hiyo game ya Inter mm ninaibet peke yake nampa mzigo Inter naona kapewa odd 5.
Napoli,espanyol,paok,liver,ajax,Lyon, helas verona.
Madrid,atletico madrid,roma,celtic,bayern munich,juve anamchapa inter leo.
Dah madrid kanyongwa! leo chelsea anapgwa handcap safi kabisa!!
nataka niweke mzigo wa laki hapo,kwamba chelsea anakufa.
dah ronaldo mtoto mchelemchele sana yule ameninyima hela hivihivi kwa kupewa redcard
nataka niweke mzigo wa laki hapo,kwamba chelsea anakufa.
Ukiweka handcap win kwa mancity na vilareal kama buku 10 unapata buku 61 na ushee
Weka hiyo laki unachukua 177000 safi!
hata asingepewa red card game ilishakua ngum kwao.
chelsea haponi
hiz U21 sio presha tupu jaman