Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Man c kanifanya capital yangu ishuke kutoka elf 24 mpaka elf 8 leo.Jana ilikuwa cku ya hela leo sipaelewi kabisa.
 
Leo panaeleweka kabisaa
Arsenal
Dortmund
Real madrid
Atletico
Juve
Liverkusen
 
leo ilikuwa siku nzuri sana kwa uefa champions league betting...... dah sijui why leo siku-bett

Mi nilikuwa nawashangilia tu wazee wenzangu, mtaji wangu mdosi kabeba! Napumzika kwa muda muda ila nakuwa nacheza ndogo ndogo.

Nikirudi watanijua tu.
 
shakhtar win
psg win
chelsea win
barcelona win
baryern win nimeweka elfu kumi nasubiri elfu 80.

pole kwa ushindi maanake ndo utakufanya ujue kuwa yes you can kwa hivyo utaendelea kucheza tu na watakulostisha kimaisha in the end hakuna atakayewaweza hawa jamaa ni hasara mwanzo mwisho. Amkeni mshtuke.
 
pole kwa ushindi maanake ndo utakufanya ujue kuwa yes you can kwa hivyo utaendelea kucheza tu na watakulostisha kimaisha in the end hakuna atakayewaweza hawa jamaa ni hasara mwanzo mwisho. Amkeni mshtuke.

Umeongea kitu cha akili sana!
 
22-10, 13:00 Kashiwa Reysol - Gamba Osaka 35% 19% 46% 12 10 2.81 3.14 2.19
22-10, 13:00 Urawa Red Diamonds - Ventforet Kofu 62% 21% 17% 1 10 1.67 3.22 4.50
22-10, 13:00 Kawasaki Frontale - Sagan Tosu 58% 24% 17% 1 7 1.93 3.20 3.34
22-10, 13:00 Cerezo Osaka - Tokushima Vortis 78% 14% 8% 1 1.31 4.25 7.54
22-10, 13:00 FC Tokyo - Sanfrecce Hiroshima 39% 38% 23% 1X 1.99 3.12 3.26
22-10, 13:00 Omiya Ardija - Yokohama F Marinos 19% 30% 51% X2 5 3.14 3.09 2.05
22-10, 13:00 Shimizu S-Pulse - Niigata Albirex 37% 30% 33% 2.29 3.12 2.68
22-10, 13:00 Vissel Kobe - Kashima Antlers 42% 18% 40% 12 2.98 3.26 2.05
22-10, 13:00 Nagoya Grampus - Vegalta Sendai 51% 30% 19% 1X 5 2.05 3.15 3.08
22-10, 13:00 Atletico Madrid - Malmö FF 64% 9% 27% 1 3 1.11 6.97 12.14
22-10, 14:45 Malavan Bandar Anzali FC - Naftoon Tehran 48% 21% 31% 12 3 3.99 2.83 1.83
22-10, 16:00 AS Monaco FC - Benfica Lisbon 61% 17% 23% 1 3 2.17 3.53 2.59
22-10, 16:20 Rah Ahan FC - Sepahan Isfahan FC 15% 21% 65% 2 4.01 2.82 1.83
22-10, 16:30 Tractor Sazi Tabriz FC - Peykan 65% 19% 15% 1 1.80 2.98 3.89
22-10, 17:00 UD Oliveirense - Maritimo Funchal B 65% 19% 16% 1 1.87 3.17 3.72
22-10, 19:00 Metalist Kharkiv - Legia Warsaw 39% 36% 25% 1X 2.79 3.18 2.52
22-10, 19:00 Real Garcilaso - UTC De Cajamarca 71% 17% 11% 1 1.55 3.36 5.35
22-10, 21:45 Atletico Madrid - Malmö FF 76% 15% 10% 1 1.16 6.82 15.72
22-10, 21:45 Olympiacos Piraeus - Juventus Turin 19% 19% 62% 2 10 3.94 3.28 1.96
22-10, 21:45 Ludogorets Razgrad - FC Basel 40% 28% 32% 12 2.67 3.15 2.64
22-10, 21:45 Liverpool FC - Real Madrid 21% 20% 58% 2 10 4.39 3.75 1.74
22-10, 21:45 AS Monaco - Benfica Lisbon 43% 27% 30% 12 2.39 3.15 2.98
22-10, 21:45 Bayer 04 Leverkusen - Zenit St. Petersburg 59% 18% 23% 1 10 1.83 3.51 4.17
22-10, 21:45 Galatasaray - Borussia Dortmund 22% 26% 52% X2 10 4.37 3.63 1.77
22-10, 21:45 RSC Anderlecht - Arsenal FC 18% 21% 62% 2 10 4.32 3.64 1.77
23-10, 00:00 Halcones FC - CSD Municipal 25% 53% 22% 1X 4 2.36 3.03 2.66
 
sir dak
Asante kwa kuweka hizo tips hope tutakula vihela leo
 
Last edited by a moderator:
pole kwa ushindi maanake ndo utakufanya ujue kuwa yes you can kwa hivyo utaendelea kucheza tu na watakulostisha kimaisha in the end hakuna atakayewaweza hawa jamaa ni hasara mwanzo mwisho. Amkeni mshtuke.

yah hela ya kamari lazma utairudisha kwnye kamali tuu me cku hz naangalia tuu ntabet cku nkijickia ila co kibiashara
 
yah hela ya kamari lazma utairudisha kwnye kamali tuu me cku hz naangalia tuu ntabet cku nkijickia ila co kibiashara

mkuu ni wewe wasema...mimi nimeshapiga zaidi ya laki 7...na hela niliyotumia kubet hadi sasa haifiki laki 1....ukipiga unaitoa helaaa ukiiacha unatamani uibetie yoteeee
 
JAMANI HUYU GAMBA OSAKA KAPEWA 1.5 odds kuscore 1 away goaal sijui nimpe laki?
 
Uefa leo pia hela zipo kwa zenit, galatasalaya
 
Ubunifu ni muhimu kwa maswala ya mahusiano.Inatakikana umweleze kichuna chako hisia za moyoni na uimarishe mahusiano yako na mpenzi wako kwa meseji za kijanja kama hii:

Nakupenda sana mpenzi wangu,wewe pekee ndio mwenye kujua furaha ya moyo wangu,Nikiwa na majonzi huwa upo karibu nami.Asante wangu tabibu,wewe pekee ndo wangu wa manani!

Ni rahisi mno, tuma WAPENDANAO kwenda namba 15630.Jaribu SASA na ujionee mwenyewe (kwa Voda & Airtel)
 
Adolph weka mkeka wako wa leo basi tukopi maana leo nahisi navamiwa na uefa
 
Last edited by a moderator:

Mjomba Watu tunapoteza hela we unaleta love story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…