Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mchek jamaa facebook anonymous fixed matches &predictions free.....na asante kwa tip hembu ngoja niulize....maana facebook wa uongo wapo wengi....ila huwa wanataka ulipe kwanza. Huyu tumelumbana sana had akantumia hii afu nlipe baadae

naomba unipe account yako ya fb au niombe mm urafiki hapa www.fb.com/joackim.Thomas nipe na hiyo page ya Hugo jamaa maana mm nimeitafuta Facebook nimeikoswa.
 

Tunaanza tena....kikapu bana kinanipa mtaji...soka linachukua....itabidi niende likizo ya soka
 
Kwa kufuata ushauri wa mitandao mbali mbali, hii ndio conclusion yangu kwa siku ya leo!

[TABLE="width: 449"]
[TR]
[TD="colspan: 4"]23:00 Sparta Praha - Napoli[/TD]
[TD] GG[/TD]
[TD="align: right"]1.95[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"]23:00 ESTORIL – PSV[/TD]
[TD="align: right"]2[/TD]
[TD="align: right"]2.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"]23:00 Din.Minsk – Paok[/TD]
[TD="align: right"]2[/TD]
[TD="align: right"]1.85[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"]23:00 Trabzonspor – Metalist Kharkiv[/TD]
[TD="align: right"]1[/TD]
[TD="align: right"]1.44[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 4"]23:00 Slovan Bratislava – Young Boys[/TD]
[TD]over 2.5[/TD]
[TD="align: right"]1.75[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"] Odd[/TD]
[TD="align: right"]20.90907[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Angalizo: CEO Rockcity native katoa ushauri kwamba kwenye mashindano ya Europa, mpe wa nyumbani.
 
Last edited by a moderator:

Psv mbona wako Away na umewapa Ushindi .
 
Last edited by a moderator:
Psv mbona wako Away na umewapa Ushindi .

Mimi huo ni mtazamo wangu, PSV na POAK wako away na nimewapa ushindi. Hiyo note niliyoiweka ni ili pia uwe na angle nyingine ya kufanyia maamuzi kulingana na tahadhari aliyoitoa CEO.
 
Kaka confirm mkeka huu si ndio huo ? Nataka nijilipue . @ Raimundo
 

Attachments

  • 1417096405470.jpg
    45.7 KB · Views: 87
Torino vs Club Brugge

Club Brugge anacheza na Torino, club brugge yupo nyumbani lakini meridian wameweka yupo away sijui kwanini
club Brugge anaweza shinda na kapewa odd ya 3.45
 
Natumai timu nne au zaidi zitatoa matokeo hapo
 

Attachments

  • 1417107333377.jpg
    36.4 KB · Views: 115
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…