Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Mwigulu✅
Olesendeka✅
Weka Cap tia laKi
wanaweza kutoa cap suluhu aseee..... upande wa pili unashambulia sana
aisee kikapu kimekukubali sana
nilibakiwa na 8000 tu nkasema liwalo na liwe nkaigawa 5000 na 3000.... mpaka nimefika 33.......faida 25..... soka inachukua..... naunga tena ..soka inachukua..... itabidi niende likizo ya soka aseee.... afu timu za COLLEGE NCAA ni rahisi mnoo...wao wana half mbili kila half dakika 20.... kwa wastani kila half lazima wafungane 61 mpaka 70 kwa half.... na kwa siku mechi zao zipo nyingi mpaka 20 sometym.... so wakianza tu ...zile odds za over under za mwanzo lazima wavuke..... unatia kamzigo....
hivi hizi game za colege ni kila siku zipo?
wakuu wap leo mizgo?
View attachment 206405
kwa kweli kiongozi hawa jamaa magoli yao ni mafupi mapana yaani hatari....ona wanavotiana vikapu..... hajawaweka inplay...angeweka tu....walipoanza tu ni kuweka over kabla hawaja adjust odds......hata NBA hawafungani hivi aseee
gem za leo ni ngumu
on you own risk........
22:00 Oss - Emmen , Emmen win odd 2.4
22:00 Almere city - Jong jax, Almere win odd 2
22:30 Marseile - Nantes, Marseile win odd 1.55
23:30 Guimere-Moroirense , Guimere win odd 1.85
22:00 Brest - Creitel, Brest win odd 1.65
22:00 Paris fc - Bolugone, paris win odd 1.79
22:00pm De graafs - Roda, Roda win odd 2.3
22:30 Searin - Antwerpen , searin win odd 1.7
21:30 Aachen - Siegen, aachen win odd 1.55
guimarez win
brestois win
willem ii win
aalmenia achen win
armenia bielfeld win
seraing utd win
glenavon win.....
Dah sijui nirudi kundini? Wiki zilizopita niliumia sana yaani nilipigwa sana tena za uso kama Mhongo.
Nahisi hawa wahindi nao tuwafate waturudishie hela zetu, inaweza kuwa Escrow nyingine
We jamaa umewapiga basket mpaka wameacha kuweka game zingine!
KUANZIA SAA 3 usiku kuna college games mpaka saa10 alfajiri.....