Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah jamani leo naomba timu zote
Sinderland
Chelsea
Man city
Arsenal
Totternham
Southampton
Everton
Swansea zote zishinde
Maana hata moja ikiharibu baaasi nafunga mwaka vibaya sana

Sunderland kaharibu mambo
 
Nani anipe maelezo kwenye kubet ili na mimi nianze kushiriki coz cjui wapi wanaweka mkeka huo.
 
kwa mtakao bet match za trh 27 hizi tim zipo vizuri......Genk
Dundee
Hamilton Academical
Hearts
Queen of South.....chekin hizo team
 
Inaonekana jana watu wamepiga sana
Asubuhi meridian leo watu ni wengi wanchukua pesa.....
Sijawahi kuta zaidi ya watu watatu wakingoja hela
 
Jamani zaidi ya dk 6 tikit haitaki ji submit
 

Attachments

  • 1419658709148.jpg
    52.8 KB · Views: 162
Siku ikinitokea mimi sijui kama bank za Tanzania zitakubali pokea hizo hela maana ni nyingi sana
...Watakupaa tuu yaan..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…