Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mdosi anaenda kuchukua range yake mpya yard kesho..,,
 
Kwa kweli mkeka wa kesho hata cjui itakuwaje maana hizi cup huwa hazitabiriki ngoja nifanye na ligi tu
 
Kweli Mdosi ana nyota *****, jana nimejiua draw 5 zikatoka 4 moja ikashindikana.

WestHam - Draw
Bristol Rovers- Draw
Newcastle- Draw
ManUtd- Draw
Arsena-Draw *****

Arsenal ndo aliniua mamakee, tena kwa makosa ya kizembe ya Szcsezny ---- yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…