Dragondreamx
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 564
- 215
Hapo kwa club brugger atakuharibia ungeweka hata Bournemouth......
Leo muhindi nimempa za uso mpaka nikamwonea huruma.. Hii mechi ya Houston Rockets naishia HT.. Tutakutana saa 12 kwa Lakers pamoja na Portland.. Hamieni Basketball jamani huko soccer muhindi atawala mpaka nywele haha
Game ya Chelsea vs Liverpool.
Weka goal in both halves
both team to score
over 2.5
Everton.
Dah
Haya bana everton
Rahim _baharia hivi hizi odd za iplay mbona ndogo hivi? eti 0.97 maana Yake nini
0.97 ni kiasi utachakula ukiondoa kiasi ulicho bet, mfano ukiweka 10,000 kwa odd ya 0.97 inamaana utakula 9,700, ukijumlisha na ya kwako inakuwa 19,700.
Kwa Meridian ingesoma 1.97.
got u bro,na multbet inakuwaje
Hiyo sio mtaalamu, Rockcity native (CEO) alikuwa anaifuatilia hii, anaweza kutupa mrejesho.
Nimejiunga na iplay8casino tena nikadeposit dola 2 lakini mbona sijapewa hyo bonus ya dola 8 ?
Me najaribu kujiunga mbona hawajanitumia hyo email ya link
kwenye multbet kwa mfano ukiweka timu 20 then ukaweka ile 10/20 INA maana ukipatia timu kumi kati ya 20 umeshinda?
na zinachaguliwa timu zipi sasa?