Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo nina furaha kubwa maana jana nilikuwa na mikeka minne na yote imetiki.
Ni kitu ambacho huwa ni nadra kutokea kwangu kupatia mikeka yote.
Dah Ubarikiwe Mkuu mkeka wangu wa Ulaya umetiki nikachukua pesa yote nikaitia South America dah alichonifanya Paraguay Mungu ndo anajua.
 
Leo nina furaha kubwa maana jana nilikuwa na mikeka minne na yote imetiki.
Ni kitu ambacho huwa ni nadra kutokea kwangu kupatia mikeka yote.
hongera zako bhana si wengine vipogo mwanzo mwisho.sijui kwny huu mchezo hakunaga fairplay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…