Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



jana mla pilipili alipiga za uso kwa team moja moja
yaani nilikuwa naangalia hii mikeka nikabaki nacheka tuu0
 
Kwa Mara ya kwanza Jana nimebet game kumi, Tsh 984,000. Ila Mpumbavu Everton tu amenipotezea mzigo
 
Hahahahaa khanji hafai ila ukimuotea inapendeza zaidi mi kupumzika huwa i aniuma maana namdai pesa zangu nyingi san huyu muhindi haha
Hahaaaa[emoji106][emoji106][emoji106]..... Na lazima atazirudisha tu anazihifazi kwa mda tu
 
Mkuu BST ndio option gani?
 


Jmn nan atoke nan abak hapo



Mkuu huyu Montpellier toka ambanie PSG 0-0 na kuninyima pesa nimekuwa namkwepa kila mara. Hiyo mechi siioni ikitoa magoli mengi. Na km utaangalia history ya Montpellier ni nadra sn kuona mechi yake ina magoli zaidi ya mawili, yani ni mwendo wa 2-0, 1-1, 0-1 etc

Nashauri Lyon/Montpellier watoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…