Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh, hali tete sana leo

Ngoja tujaribu bahati yetu DAkika za mwisho namna hii.

Akiipiga na hii miwili, ntasema SHKAMOO KANJI.

 
Baada ya hoffenheim kuharibu

Chicago Bulls v Utah Jazz USA
Over 203.5 Under
Odds 1.53
 
Huyu Genk sjui Kala maharagwe ya wapi

Madg wamechomoa golj zote 2 half gimer
 
Newcastle hela nyingine
Try

Home win with gg n ov 1,5
 
Leister anaongoza 2.

Hapo nashusha pumzi kidogo.

Leo Nna kazi ya kuhesabu kona.

Nna taka kona 5 first half kwa Man utd vs bou.
 
Nashkuru nshapata kona 5 mechi ya man utd.

1.68 Odds zmeshatick
 
Wakuu naomba mnisaidie hapa chap kabla game hazijaanza.

"Away team to score a goal" so inamaanisha away afunge goal moja tu hata kama atapigwa 100-1.?
Wakuu naona hii option kama nzuri hivi manake Everton walipewa odd 1.43 pamoja Leicester ,na tayari wote wameshatick. All in all tuendelee na maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…