[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] uyu jamaa ana ongoza lig sio wa sport sport kua na aman
Aaah mkuu wazungu wanasema "Only bet what you can afford to lose"Si ungetia stake kubwa mkuu?
Anafaa kwa kwa over 1.5
Huyo anafaa kwa win either halfKatika timu ambazo leo sijaiskia wala kuiona kbs kwny mikeka ya watu ni Monaco ... what's wrong jamani? hata double chance ina maana haaminiki?
GGHuyo anafaa kwa win either half
Ha ha ha ha.....Aaah mkuu wazungu wanasema "Only bet what you can afford to lose"
Ana matokeo mabovu sana na hallescher nadhani anafaa kwa 3plus tuu nilimweka kimakosa win directly...check head to head game ya mwsho mpaka dakka ya 60alikua anaongoza 4-1ila full tym wakatoka 4_4Wakuu mmemuona Pardebon kule 3.bundesliga?
Jamaa kweli MUHINDI hapa kachanganyikiwa.
Nammaliza mazima leo
Kama ifuatavyo.
View attachment 651879