Mkuu nadhan hapo kuna kitu inachanganya.
Wewe unamuongelea Pardebon wa msimu uliopita na si huyu wa this season.
Hiyo reference ya head to head unayosema wewe ilichezwa mwishoni mwishoni kwa last season (sept 22,2017) ambapo Pardebon akitoa sare uko ugenini.
Ila unasahau kua ligi yao ina advantage kubwa kwa home team.
47% ya timu znazocheza home huwa zinashinda mechi, tofauti na znapokua ugenini ambayo ni kwa 28%
Pia unasahau kua Pardebon ndio anaongoza ligi tokes msimu huu umeanza na hajabanduka kileleni hata sekunde 1.
Pia unasahau kua Pardebon ni mwiba mkali sana hasa anapokua home.
Huyo Pardebon ni kwamba amacheza mechi 9 home. Kashinda mechi 8 na kupoteza mechi 1 tu.
Ambapo mechi zote 8 alzocheza home ameongoza First half na kushinda mechi nzima.
(Wanaita, ushindi mwanzo mwisho)
Pia uyo Pardebon ndiye anaongoza kwa wingi wa magoli ktk ligi.
Na mechi zote alzocheza home katoa over 2.5.
Kwa maelezo zaidi chungulia hapa chini mkuu nmeambatanisha vielelezo.
Pia usisahau kua ligi yao ina advantage kubwa ya ushindi kwa home team kwa 47%
Dhidi ya 28% ya ushindi kwa timu pindi znapokua zinacheza ugenini
Cc: lord jozee.
View attachment 651889View attachment 651891