Ondoa Fanyewood Vs roma ipe mwenyeji double chance
\Umejikita wapi mkuu...tih tih.... nipo likizi ya bila malipo
View attachment 229892
nimeona niwe natoa tu tips ....
nimechambua kwa kina game za leo nimeamua kuweka hivi, unaweza kuedit kwa namna upendavyo
View attachment 229903
Nyie online mnapitia wapi
yakub yusuf
Dynamo moscow-win
Besiktas- win 1st half
Dynamo kyiv-win
Ajax -win
Athletico bilbao -win
Feyenoord vs Roma- draw
Ushauri wadau,japo nipone kipigo nipewacho daily.
View attachment 229911
Huo mkeka vipi wakuu?
Shukrani mkuu. hapo kwenye bold pananipa utata kupatambua kupitia premier betting as meridian naona ina utata kwangu kwa online. Please nieleweshe tafadhari.Hapo huyo Roma mpe doubl chanc kulko hyo drow kavu nyengne hyo ya liver mech ngumu sn napata hofu besiktas kushinda mpk HT na huyo Ajax huwa mbovu sn akiwa ugenn lbd hapo kwa Ajax muweke Inter na hapo kwa besiktas muweke Brugge kuongoza HT
LEO nmetengeneza mikeka 10 km mzungu ataweza kuruka yote hii bac na mm ntajpa likizo ya wik1 bla malpo kuanzi kesho.mtoto wa NZI na me nko nijian nakuja kaka niandalie sehem kbs ya kufikia.
Shukrani mkuu. hapo kwenye bold pananipa utata kupatambua kupitia premier betting as meridian naona ina utata kwangu kwa online. Please nieleweshe tafadhari.
Mkuu kavp fanya kuitupia maana hamna-hamna hata kianzio tutapata nasie.LEO nmetengeneza mikeka 10 km mzungu ataweza kuruka yote hii bac na mm ntajpa likizo ya wik1 bla malpo kuanzi kesho.mtoto wa NZI na me nko nijian nakuja kaka niandalie sehem kbs ya kufikia.
Mkuu kavp fanya kuitupia maana hamna-hamna hata kianzio tutapata nasie.