Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anayetaka mkeka wa uakika kwa gemu za leo anitafte atanipa ata vocha.
 
Leo mi hv
Anderlecht to qualify
Totenham to qualify
Olympiacos to qualify
Sporting vs wolfsburg- 1/X
500 inaleta 170000
 

Mkuu, hii nimechelewa kuiona, nilijua game zinaanza saa tano! Naona D Moscow kashamaliza mchezo! Na Kiev mambo siyo mabaya!

Ngoja niangalie angalie game za saa tano hapa
 
Weka dinamo kiev win&dinamo moscow win weka elf 50 then mpe club brugge win na b juniors win elf 50.kesho unifuate pm kwa japo voucher

Yaani nimechelewa, nilijua game ni za saa tano. Haya mambo ya kutumia laptop yanasumbua, simu yangu imekufa kwa hiyo info zinanipita aisee.

Ila hakijaharibika kitu, ngoja nione natokaje game za saa tano, nikishindwa nisubirie tu game zangu za NBA!
 

pole sana mzee mwenzangu hizi game zilikua nyeupe sana
 
Mkuu, hii nimechelewa kuiona, nilijua game zinaanza saa tano! Naona D Moscow kashamaliza mchezo! Na Kiev mambo siyo mabaya!

Ngoja niangalie angalie game za saa tano hapa

Kaka km kunapesa ambayo utakuwa unajilaumu kuikosa wazwaz n hii.Ss knacho tuumiza n mtaj tu lkn km mtaji unakuwepo mbona tunatusua kla cku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…