Nisaidien jinsi ya kujiunga na princess bet
Andika hiviinanizingulia hapo
Mkuu mbona kama unataka kujichinja hapa.in play people
*Brisbane Roar FC v Western Sydney
total corners= under 13.5
odds= 2.6
hawafiki mkuu,trust hiyo kituMkuu mbona kama unataka kujichinja hapa.
WAKUU.
HABAR ZA ASUBUH...
Hakika Nna wajibu wa kuanza kwa shukran ZA dhati kwa ndugu zetu hawa.
Willy bills na Koncho
Aisee nawashkuru sana kwa hz odd 2.33 kwny Basket.
Hakika,
Mapambano ni lazima yaendelee.
View attachment 669132
View attachment 669133 hiyo apo cba,fata nyuki.
Yuko vzur.Mkuu ni matumaini yangu mtoto anaendelea vyema.
Pili hongera mkuu, hakika leo kanjibai atakuwa hana hamu na hizi game mbili kwa dhamana iliyomshukia.