Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni kampuni gan ya betting walikuwa na hiyo options ya corner kwa hiyo gem mkuu. Maana mm niliingia princess bet na meridian sikuona hiyo option.!
 
waku kwa mfano ikitokea mechi imeahrishwa njiani( bila kufikia dk90), ugenini akamshinda wa nyumbani, huku ikiwa ulibet wa nyumbani ashinde, je hapo ni bet lost or bet won?
 
waku kwa mfano ikitokea mechi imeahrishwa njiani( bila kufikia dk90), ugenini akamshinda wa nyumbani, huku ikiwa ulibet wa nyumbani ashinde, je hapo bet lost au inakiwaje wakuu
Kwa mfano home wangepiga comeback na wakashinda.
Hapo hujaliwa mkuu.
 
waku kwa mfano ikitokea mechi imeahrishwa njiani( bila kufikia dk90), ugenini akamshinda wa nyumbani, huku ikiwa ulibet wa nyumbani ashinde, je hapo ni bet lost or bet won?

bet haitakuwa lost mkuu cz mpira ni dakika 90.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…