Record huwa tamu kabla hujabet lakini ukibet hizo timu mbili za draw unazipata mwenywewView attachment 669294 Mbiu ya kesho: kuhusiana na FA CUP, michezo iliyochezwa nov 3 na 4 mwaka jana kati ya mechi zaidi ya ishirini droo zilizo patikana zilikua 2 tu. zilizo baki zote zilitoa double chance ya 12.
kwahiyo kesho inaweza kujirudia, tafuta slot zako za timu tatutatu zikupe odd ya 2 weka slots za kutosha lala mbele kwa ajili ya kusubiri mavuno.
usiku mwema.
dah mechi nyingi leo ngumu sana.Marseyside derby imekaaje leo bila salah wala Coutinho... Inaenda kwa magoli, corner, au direct win... Cc DeepPond, koncho77, Mr. Wise, troublemaker, Teja Junior, JOAQUEM na wana bodi wote.
Ngoja tule kwa macho tu leo.dah mechi nyingi leo ngumu sana.
BET WONInplay
Huwa inawekwa weekend.
Duh,
Aisee muhindi, analiwa ila ni kwa mbinde sana
msaada mkuu maana ya booking bet
Hii mechi ilkua na fouls kibao,
Ila refa Katoa kadi 1 tu ya njano,na kaitoa dkk 93 kwa udenese.
Inplay bet BET WOOOON....
View attachment 669330View attachment 669331
Mkuu nisaidie magroup ya WhatsApp ya bettingMzigo wajanaa 3+
[HASHTAG]#wooooooooooon[/HASHTAG]View attachment 669201