Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
yani kuanzia mechi ya 1 had ya 16 zote 2+View attachment 669740zipo na zilikuwepo hapa
nenda bet history kachekiNashukuru mkuu... maana nimefanya muamala wa buku2 hapo ni kwamba nimelipia mkeka hewa ama?
Halafu nafanyaje chief?nenda bet history kacheki
Kusubmit simple tu kama kumsukuma mlevi, ila hakikisha salio limesoma kweli hapo juu. Kama umelipia halafu salio halijaongezeka, chat nao live hapo chini, watumie msg ya transaction, watakutatulia ndani ya mudafupi.Unasubmit vipi mkeka uliotengeneza

Nimefanikiwa nashukuru mkuunenda bet history kacheki
***** leiscter
Ameweka kikosi kibovu mno .. 1st eleven yote ilikuwa nje***** leiscter
nishachana mapemaaaaYaani wanenikosesha laki moja hivi hivi
Mkuu wewe ni me au ke?***** leiscter
duuuh aiseeeMkuu wewe ni me au ke?
ahahah pona pona yako mkuu pm ingenihusuduuuh aiseee
jackson daniel
Mwanangu anaumwa tokea juz,poa mkuu bado bana upepo siusomi.
vipi anaendelea kukaa?
ShukranPole chief,,,tunamuombea apone haraka
Huyo wolves wa championship england ni moto wa kutotea mbali.DeepBond pole mkuu
Nimerudia sms za nyuma ila sioni habar kuhusu wolves ,atashinda au?