Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
pole sana mkuu tuko pamojaMwanangu anaumwa tokea juz,
Kwahyo,
Sjatulia kabisa,nmekua bize sn kuhangaikia matibabu yake.
Pole mkuu Mungu atakusaidia tu usijaliMwanangu anaumwa tokea juz,
Kwahyo,
Sjatulia kabisa,nmekua bize sn kuhangaikia matibabu yake.
Pole Kiongoz kwa kuupuza..Mwanangu anaumwa tokea juz,
Kwahyo,
Sjatulia kabisa,nmekua bize sn kuhangaikia matibabu yake.
20k inaondoka hivi hivi football hovyo kweli.SSC Napoli v Hellas Verona
Handicap (0:2)-2
1.88
Man city hivi huwa unanitafuta nn mm?Man city keshapigwa moja huku
Upuuzi haswa.. .kuna sehemu nimetia 25k na inaelekea kupeperuka20k inaondoka hivi hivi football hovyo kweli.
Kubetia serie A yataka moyoUpuuzi haswa.. .kuna sehemu nimetia 25k na inaelekea kupeperuka
Leicester mamaeeee.. Kasepa na dunia!!!!
Leo hatoboi huyuValencia 0-1 Girona
Kichekesho zaidi ni hii ya Bw.Gatusso.Hii game ya Napoli ni vichekesho. 0-0 fk ya 63