Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Deci si ilikua ivi ivi au?
Karibuni kwa watakao taka kujaribu unaweza ukaanza na kifurushi kidogo
 
Yah mkuu na wewe unaweza weka uliyonayo hata kama ni zaidi ya yangu Elfu 55
Mkuu ujue wezako tuna Arosto ,asama mm tangia mwaka Jana mwezi wa 10 cjamla kaji napigwa tu hadi naogopa najihisi na gundu.....acha nitembelee nyota yako hii [emoji120]
 
Mkuu ujue wezako tuna Arosto ,asama mm tangia mwaka Jana mwezi wa 10 cjamla kaji napigwa tu hadi naogopa najihisi na gundu.....acha nitembelee nyota yako hii [emoji120]
Yah jilipue maana mjasiliamali ni yule anaye take risk
 
Mkuu achana na Hizo mambo utalia ! Wekeza kwa muhindii
 
Hizi Pumba za Bitcoin zimesambaa sana siku hizi hapa mjini, watu wanakimbilia kichwa kichwa tu mm siwezi kuweka elfu 67 halafu nisubiri elfu tatu , kwa wiki! Huu si uzombi? Tia 67 weka Barca 3+, Man City 3+, Chelsea win, Madrid win, Man U double chance, Liverpool over 8.5 corners ***** subiri uone inakuja sh ngapi! Hapo hujasweat, hujaumiza kichwa, hujangaika sijui kumshawishi mtu ajiunge, yani umetulia na ka Tecno kako unasubiri kipyenga cha Refa pembeni upo na Balimi yako Taratiiiiiiiiibu maisha yanaenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…