Wazee wakati wakuchagua kulipa baada ya kubonyeza m-pesa nika bonyeza AIRTEL MONEY ila huko mbele nimefata hatua za kulipia m-pesa hapo vipi sasa ina maana pesa haiwezi fika kwenye account maana njia zakulipa kwenye m-pesa na airtel money tofauti hapo naweza kupata msaada gani nime jichanganya mwenyewe sio wao hapo itakuwa vipi
xactly 2,000 TZS is required
1. Dial *150*00#2. Select Option 4: Pay by M-Pesa3. Select Option 4: Enter CompanyNumber4. Input number: 4007005. Input payment reference: 008 dusupay(note that entering a payment reference other than 008 dusupay will lead to your payment not being processed)6. Enter payment amount 2,000 TZS7. Input password/pin