Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Je, Kuna uhusiano wowote kati ya makampuni ya kubeti na timu zinazoshiriki league kama vile Barca
 
Tujaribu hii pia ... odds 3.9





Minerva anakosa penalty dk ya 61, na mkeka unachanika ...




Mchana wa leo umekuwa wa kupishana na hela na kutengeneza hasara nyngne.

[emoji36]
 
Habari za mapambano wadau?

Nimemnyoosha mrashia kwenye 1xbet Inplay Basketball, sasa nataka kutoa pesa nakutana na hii message. Tunafanyaje hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…