Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hiv optin na away team (-1) wins ina mana gan
kama nimekuelewa vizuri hy ni handcap
timu ya ugenini inakuwa imefungwa 1-0 kabla mpira haujanza kwahyo inatakiwa ashinde kuanzia 0-2 hapo matokeo yatasoma 1-2
 
Yan leo kaninyoosha nje ndan ,princes on kawapa juve vs sevila ov 11.5 cha kushangaza awakuambulia ata kona 1 kipind cha pili.wakat wameenda mapunzko nakona 8.
 
Inplay

Belgium

Brudgge vs kortjick

Over 1.5 goals full time

Odds: 1.44
 
Naona Gent anapango wa kuharibu kazi nzuri ya odds 30 iliyofanywa na wenzake tangu mchana....dah tuombe Mungu
 
Inplay

Laliga

Rmadrid vs getafe

Corners first half- over 3.5

Odds: 1.40
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…