Corner 2 tayar DKK 30
Bado moja.
Just relax[/QUOT
ivi ikisema who will win the rest of the match score 3:0 ina maana gani ? mfano galatasalay 3 afu timu nyingine 0
Duh ilinitokea asubuhi leo, sikutaka ku place bet ghafla nikakuta nime place bet bila kujua ya stake ya 20,000/ dah uzuri ilileta ushindi nikampigaYaani hapa nimejichanganya kabisa nimelipia marambili bet slip bila kujua nakuta bet slip zipo 2 dah najua hiz pesa zimeenda ngoja nilale tu kutuliza mawazo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15]
Nani atashinda kwny DKK zilizobaki kwny mchezoivi iki
Mkuu hapa kuna kupona kwel?? nataka niweka 50K hapaInplay
Russia
UFA vs Dynamo Moscow
UFA win or draw full time
Odds: 2.45
Stake: 100%
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapambano yanaendelea mkuuNimefumuliwa vya hatal toka jana saa 7 usiku mpak sas si a green hat moja
Mkuu hapa kuna kupona kwel?? nataka niweka 50K hapa
Bora yako mkuuDuh ilinitokea asubuhi leo, sikutaka ku place bet ghafla nikakuta nime place bet bila kujua ya stake ya 20,000/ dah uzuri ilileta ushindi nikampiga
View attachment 704746
Hawa jamaa wamesitisha mapambano [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Buddy
nyegere86
Mtoto wa nzi
Rockcity native
cute b
mbere
Wa kusoma
Ferrenga
madukwappa
Fibonacci
MILCAH28
mathematics
strong ruler
nilicho gundua safari yetu hii ni ndefu mno hao ni baadhi ya wadau tulio anza nao safari ila kwa namna moja ama nyingine hawaonekani tena hapa jukwaani
haahahahhahaHawa jamaa wamesitisha mapambano [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaweza laza familia njaa aiseee
timu ipiKuna Captain wa timu amekufa
Kuna yule Kekiu alikuw anauza App za V.I.P haonekani siku hz cjui kanji kala mtaji?Hawa jamaa wamesitisha mapambano [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaweza laza familia njaa aiseee
ulivyomuuliza duh!captain wa fiorentina inasemekana amefia usingizin.timu ipi
Alaaaaa kanji afai kwan anamchezo sasa hamna cha v.i.p wala nn ni kipigo tu.Kuna yule Kekiu alikuw anauza App za V.I.P haonekani siku hz cjui kanji kala mtaji?