Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inplay

Milan vs arsenal

Corners : Milan over 9 corners full time

Odds: 1.41
 
Nilikuwa nakaribia kuurejesha mtaji, nimekurupuka nimeupunguza, naanza upya.
Kaz hii ngum mkuu bas tuu,..mim nmeuongeza mtaj kama ulivyo hapa,nilipigwa kipigo kitakatifu masaa ka mawil yaliyopita,nkapoteana kabsa,nkasema sio kesi,..nmeweka mpunga naanza mdogo mdogo.yan leo had saa kum na mbili nilikua nimeu triple mtaj wangu sema jini mkata kamba akanipitia tamaa ukaniponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…