Ulitusuliwaaa jeeeKubet ni rahisi ila sio jelo lako wala mia tano aisee, utasubiri sana kama unamzigo tushirikiane mawazo nikupe mbinu ukitusua unipe 5%
Duh.. fresh, kaza ndugu yangu, mie nasaka kurejesha mtaji.Kaz hii ngum mkuu bas tuu,..mim nmeuongeza mtaj kama ulivyo hapa,nilipigwa kipigo kitakatifu masaa ka mawil yaliyopita,nkapoteana kabsa,nkasema sio kesi,..nmeweka mpunga naanza mdogo mdogo.yan leo had saa kum na mbili nilikua nimeu triple mtaj wangu sema jini mkata kamba akanipitia tamaa ukaniponza
Live..Matokeooyaleooo tuyazoee mojaya challange za betting never give up mpakakieleweke
Pole sn mkuu,Ila ndo nmejifunza asee,tamaa mbaya kwenye hizi kazi,wakal wa hiz kaz wana maintain kiwango kile kile,noo tamaa,sasa mtu u,atoka kuweka buk5,af unaruka na tamaa unaweka elf30 ,si usenge huu,dah leo nmejiona ****** kwel mkuu
Duh.. kweli kubet hatari ukakumbuka mpaka linear [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaa 1xbet kanirudishia mpunga wangu. Nilicheza Lokomotiv Moscow over 2 corners ft alafu zimetoka exactly 2 corners. Hapa ndio nikakumbuka mathematics atleast na atmost in linear programing.
Pole sn mkuu,
Itakua uliingia tamaa,
Always nasema
"Hii kazi haihitaj tamaa"
"Tamaa ni adui No1 wa hii kazi"
Unapaswa kua na kiwango uniform kwa kila bet unayocheza inplay.
Mara nyng ni bora kipungue kuliko kiongezeka.
Pia nilishasema,
Ukishakula Mara 2 ya mtaji ulioanza nao, withdraw pale pale.
Kua na kiwango kidg kwny account, Hii inakuwekea mazingira ya kua na discipline ya pesa.
Hasa hasa kwa juniours
Pia inakufanya Kwa kua makini sana wakati wa kuweka stake na kuchagua option makini.
NARUDIA TENA,
"Ukishakula Mara 2 ya mtaji wako wa siku, withdraw na uendelee kuzungusha mtaji wako ule ule uloanza nao".
NYONGEZA,
Epuka kuwa unadeposit Mara kwa Mara.
Kwa mtaji uloanza nao,
Hata kama mambo hayaendi vizur.
Hakikisha unapambana kufa na kupona mpk tone lako LA mwisho kwa mtaji ule ule
MF:
Mara nyingi mtaji wangu ni 90k,
Ila kuna kipind naliwa na unashuka mpk 15k.
Ila nakomaa hivo hivo mpk naupandisha tena, na mpk faida juu.
Tar. 27 Jan, nililiwa mpk ikabaki 9,800 Tsh.
Nilisema, sitodeposit pesa mpk ibaki zero balance.
Nilikomaa sn usiku wa manane south&North america.
Nikaweza kuupandsha mpk 35,800 Tsh kufkia asbuh ya tar 29 Jan.
Asbuh hiyo hiyo nikakomaa sn baran asia.
Kufika SAA 10 jioni nikawa nmefikisha 52,000 Tsh.
Usiku napo nikakomaa ten mpk usiku wa manane kule south america.
Asbuhi, nikaamka na 122,500Tsh.
NILILALA MASAA 10 mfurulizo bila kustuka, maana nlkua na usingiz wa siku 2 mfurulizo sijalala.
Natumai, kuna kitu flan umenielewa.
Click menu button kama unatumia app, then top up.. then chagua nchi yako kisha click Vodacom Tanzania utaletewa ukurasa wa kujaza kias na namba ya simu.. ukisha jaza confirm then utapata sms ya namna ya kudeposit..1xbet nadeposit Pesa vip kupitia Mpesa msaada!!
Nenda kwenye top up account, bofya hapo, kisha utaona zinakuja njia mbali mbali za kulipia na mpesa ikiwa moja wapo.1xbet nadeposit Pesa vip kupitia Mpesa msaada!!
Ahh,nmekuelewa vzur sana mwalim wangu,kwakwel yanipasa kufanya kama unavyosema,..ntazingatia sana mkuu deepond,nashkuru sanaPole sn mkuu,
Itakua uliingia tamaa,
Always nasema
"Hii kazi haihitaj tamaa"
"Tamaa ni adui No1 wa hii kazi"
Unapaswa kua na kiwango uniform kwa kila bet unayocheza inplay.
Mara nyng ni bora kipungue kuliko kiongezeka.
Pia nilishasema,
Ukishakula Mara 2 ya mtaji ulioanza nao, withdraw pale pale.
Kua na kiwango kidg kwny account, Hii inakuwekea mazingira ya kua na discipline ya pesa.
Hasa hasa kwa juniours
Pia inakufanya Kwa kua makini sana wakati wa kuweka stake na kuchagua option makini.
NARUDIA TENA,
"Ukishakula Mara 2 ya mtaji wako wa siku, withdraw na uendelee kuzungusha mtaji wako ule ule uloanza nao".
NYONGEZA,
Epuka kuwa unadeposit Mara kwa Mara.
Kwa mtaji uloanza nao,
Hata kama mambo hayaendi vizur.
Hakikisha unapambana kufa na kupona mpk tone lako LA mwisho kwa mtaji ule ule
MF:
Mara nyingi mtaji wangu ni 90k,
Ila kuna kipind naliwa na unashuka mpk 15k.
Ila nakomaa hivo hivo mpk naupandisha tena, na mpk faida juu.
Tar. 27 Jan, nililiwa mpk ikabaki 9,800 Tsh.
Nilisema, sitodeposit pesa mpk ibaki zero balance.
Nilikomaa sn usiku wa manane south&North america.
Nikaweza kuupandsha mpk 35,800 Tsh kufkia asbuh ya tar 29 Jan.
Asbuh hiyo hiyo nikakomaa sn baran asia.
Kufika SAA 10 jioni nikawa nmefikisha 52,000 Tsh.
Usiku napo nikakomaa ten mpk usiku wa manane kule south america.
Asbuhi, nikaamka na 122,500Tsh.
NILILALA MASAA 10 mfurulizo bila kustuka, maana nlkua na usingiz wa siku 2 mfurulizo sijalala.
Natumai, kuna kitu flan umenielewa.
Pole sn mkuu,
Itakua uliingia tamaa,
Always nasema
"Hii kazi haihitaj tamaa"
"Tamaa ni adui No1 wa hii kazi"
Unapaswa kua na kiwango uniform kwa kila bet unayocheza inplay.
Mara nyng ni bora kipungue kuliko kiongezeka.
Pia nilishasema,
Ukishakula Mara 2 ya mtaji ulioanza nao, withdraw pale pale.
Kua na kiwango kidg kwny account, Hii inakuwekea mazingira ya kua na discipline ya pesa.
Hasa hasa kwa juniours
Pia inakufanya Kwa kua makini sana wakati wa kuweka stake na kuchagua option makini.
NARUDIA TENA,
"Ukishakula Mara 2 ya mtaji wako wa siku, withdraw na uendelee kuzungusha mtaji wako ule ule uloanza nao".
NYONGEZA,
Epuka kuwa unadeposit Mara kwa Mara.
Kwa mtaji uloanza nao,
Hata kama mambo hayaendi vizur.
Hakikisha unapambana kufa na kupona mpk tone lako LA mwisho kwa mtaji ule ule
MF:
Mara nyingi mtaji wangu ni 90k,
Ila kuna kipind naliwa na unashuka mpk 15k.
Ila nakomaa hivo hivo mpk naupandisha tena, na mpk faida juu.
Tar. 27 Jan, nililiwa mpk ikabaki 9,800 Tsh.
Nilisema, sitodeposit pesa mpk ibaki zero balance.
Nilikomaa sn usiku wa manane south&North america.
Nikaweza kuupandsha mpk 35,800 Tsh kufkia asbuh ya tar 29 Jan.
Asbuh hiyo hiyo nikakomaa sn baran asia.
Kufika SAA 10 jioni nikawa nmefikisha 52,000 Tsh.
Usiku napo nikakomaa ten mpk usiku wa manane kule south america.
Asbuhi, nikaamka na 122,500Tsh.
NILILALA MASAA 10 mfurulizo bila kustuka, maana nlkua na usingiz wa siku 2 mfurulizo sijalala.
Natumai, kuna kitu flan umenielewa.
Nimeichelewa[emoji17] [emoji17] [emoji17]