Nmetoa, iko vzur tuKama kuna mtu ametoa leo pesa 1xbet anijuze, naona natoa inakataa.
Mtandao gani mkuuMi nimetoa usiku huu, imekubali.
Tigo pesa.Mtandao gani mkuu
****LOST****Inplay
Marseille vs Bilbao
Corners- Bilbao over 2.5 corners full time
Odds: 2.30
Mtandao gani MkuuNmetoa, iko vzur tu
******BET WOOON****Inplay
Sporting vs Victoria
Yellow card- Victoria over 1.5 full time
Odds: 1.61
AirtelMtandao gani Mkuu
Hongera mkuu..Mambo niii
Nmetoa, iko vzur tu
Mim nina vidonda mwili mzima, nina loss ya 30 na kitu hiv
Dah pole sana mjomba,mi nmepunguza den had los kwa sasa ni kama elf14 hiv,..naangalia angalia naona kuna match bdo zipo ila bado kdogo nafunga daftar maana nsijepata balaa zaid usiku huu,namskilizia mayweather wa kubet je anaendelea au vpMim nina vidonda mwili mzima, nina loss ya 30 na kitu hiv
tupia hizo inplay twende pamoja babaHizi mechi za SAA 5 zimeshusha sn mtaji wangu.
Vita inahamia south&north america
Mapambano yanaendelea
Hahaa... ni kawaida mkuu ila kwakuwa nilikuwa sijchezi lives game before ndio maana nimepata tabu, ila baada kama ya week 2, 3 hiv nahisi naweza kuwa sehem nzur, nimejaribu kukopo na kupaste naona nimekutana na changamoto ya kuchelewa mkeka baadhi ninayowahi inakuwa loss[emoji23] [emoji23] , may b sikuwa na upepo wacha tuone kesho itakuwaje..Dah pole sana mjomba,mi nmepunguza den had los kwa sasa ni kama elf14 hiv,..naangalia angalia naona kuna match bdo zipo ila bado kdogo nafunga daftar maana nsijepata balaa zaid usiku huu,namskilizia mayweather wa kubet je anaendelea au vp
Kama yanaendelea niko macho, weka mambo.Hizi mechi za kuanzia SAA 5:00 zimeshusha sn mtaji wangu.
Hasa game ya Marseille
Sio mbaya,
No retreat, No surrender
Vita inahamia south&north america
Mapambano yanaendelea
Tuko pa1 blaza weka vitu,weka vitu had kieleweke leo,.kama wew huchok kuzikusanya ntakua mim blaza,..niko nyuma yakoHizi mechi za kuanzia SAA 5:00 zimeshusha sn mtaji wangu.
Hasa game ya Marseille
Sio mbaya,
No retreat, No surrender
Vita inahamia south&north america
Mapambano yanaendelea
Tuko pa1 blaza weka vitu,weka vitu had kieleweke leo,.kama wew huchok kuzikusanya ntakua mim blaza,..niko nyuma yako