Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Changamoto yangu nyingine kwenye 1xbet,sizioni cha corner wala yellow cards,pia kuna kioption kimeandikwa Brace nacho kimenitoa nockout,mkuu DeepPond utakapokuja kunipa maelezo ya ile option ya Win or Draw,ongezea na hizi zingine kutoa ufafanuzi tafadhali.
 
unatumia app au? kama ni app cheki hiyo picha
 
Mkuu hapo ina maanisha timu 1 ishinde zaidi ya goli mbili au

Hapo umemtanguliza timu 2 kwa magoli mawili. Hivyo W1 inabidi timu 1 ishinde kwa tofauti ya magoli matatu ndiyo ule
 
Nshajisajiri tayali,, lkn nikiwa nachagua mkeka wangu sehemu ya mwsho kabsa wanaandka place bet bt nkplace wanaomba promo code
hiyo sijui mkuu labda kwenye setting zako ulijisajili kwa promocode au una place mkeka wako kwa kubonyeza sehem iliyo andikwa use promocode
 
Brace
Maana yake kwny mechi husika itokee mchezaji mmoja afunge magoli mawili
 
Inplay

Madrid vs eibar

First half corner handicap: Madrid (+1.5)

Odds: 1.45
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…