kwanza nikupongeze kwa kuamua kutufata mpk huku.
My question is
according to your online infomations there is an accessibilty to the Iplay8 customers to be given up to ¢ã100 USD as a Bonus to Manage an account"
so Wat are the qualities, terms or conditions that the customers should hav had to win such a bonus out of that 8 US Dollars?
thanx mr roburt kwa kuja kwa thread hii mi ushauri wangu ni kwanini msifanye dili na kampuni yoyote ya simu kama walivofanya m-bet na vodacom?? Njia hii itasaidia watu wengi wasio na smartphone
1.Mr.Robust,my id doesnt show my age but show my education status which,inTanzania,you cant obtain it if you are under18!! may i use it to withdraw my Mpunga a.k.a cheda,a.k.a money!!
Long live mikeka
sio mpunga wa kula mkuu...usikurupukeMkuu,
Rukwa,Kyela na kamsamba ni noma kwa mpunga yani usangu,ifakara wanasubiri.
Wakuu, ebu tuelekezeni jinsi ya kujiunga, maana ktk mashine za muhindi mara nyingi ni mizinguo.
Kuna mchizi wiki iliyopita kapiga kama 6 milion,akanunua piki piki akaipga chata,king of betting ila ------- wamemuibia!
Wa leo na kesho...
Ndio mara nyingi tu..
Sh ngapi
Inategemea na pesa uliyoshinda..
Nimempiga mhindi cap kati newcastle,dotmund,bayern,na atletico. Yaani zote nimeweka 6 timu nne nimepata laki na 30
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums