Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
10000/= imeendaBET LOST
Bonus ina masharti iyo Mkuu,hapo ndio 1xbet walichemka kutia masharti ya ajabu ktk bonus zao, we soma masharti ya bonus utaelewa. Moja ya sharti la msingi ktk bonus ni kwamba hautaweza kuwithdraw pesa zako ambazo hazihusiani na bonus mpaka ukamilishe masharti ya bonus, so disable iyo bunus account otherwise hutoweza kutoa pesa yoyote ktk account yakoKivipi mkuu,em nielezee vizuri
Na iyo ishu ya kwamba ukila huipati inakuje?
unapitia uchochoro upi ku disable bonus accBonus ina masharti iyo Mkuu,hapo ndio 1xbet walichemka kutia masharti ya ajabu ktk bonus zao, we soma masharti ya bonus utaelewa. Moja ya sharti la msingi ktk bonus ni kwamba hautaweza kuwithdraw pesa zako ambazo hazihusiani na bonus mpaka ukamilishe masharti ya bonus, so disable iyo bunus account otherwise hutoweza kutoa pesa yoyote ktk account yako
Nenda Acccount Setting, Utakuta kuna account mbili, main account na bonus account. Ingia bonus the deactivate iyo ya bonusunapitia uchochoro upi ku disable bonus acc
Naomba league zake kiongoz sizioni
Bonus ina masharti iyo Mkuu,hapo ndio 1xbet walichemka kutia masharti ya ajabu ktk bonus zao, we soma masharti ya bonus utaelewa. Moja ya sharti la msingi ktk bonus ni kwamba hautaweza kuwithdraw pesa zako ambazo hazihusiani na bonus mpaka ukamilishe masharti ya bonus, so disable iyo bunus account otherwise hutoweza kutoa pesa yoyote ktk account yako