Sell bet slip ni kama Turbo pay out ya MeridianNimejiunga hii 1Xbet. Sema naona Ngumu kutumia.. but tuelekezane wakuu... hiv hii sell bet slip maana yake nn hii insure maana yake nn
Na hii insure....? Na nime place mkeka.. nataka niuone.. n share hapa naenda sehem gani..? Maana siuon mkekaSell bet slip ni kama Turbo pay out ya Meridian
Kweli kabisa kwanza ukishinda kwa kutumia bonus haiwekwi kwenye account na ukianza kudeposite haifikiAchana nayo itakutesa mpaka utajuta kuipokea iyo bonus
Dah,ishafika slot ya 6 ngoja nikomae nazo
Cc mr. WiseNa hii insure....? Na nime place mkeka.. nataka niuone.. n share hapa naenda sehem gani..? Maana siuon mkeka
Unaifanyia slip yako insurance just ikitokea imekua loss unapata compensationCc mr. Wise
Na hii insure....? Na nime place mkeka.. nataka niuone.. n share hapa naenda sehem gani..? Maana siuon mkeka
Mimi tangu Jana wamekaa na 8k yangu wananiambia niwait after 72 hours ela itarudiAirtel wameshikilia pesa niliodeposit since asubuhi, ngoja ngoja nyingi... Kufelishana tu
dah ndio walichonijibu sasa hivi, baada ya masaa 72 itarudiMimi tangu Jana wamekaa na 8k yangu wananiambia niwait after 72 hours ela itarudi
Hapa kwa brazil nimeanza kuwa na mashaka maana half time hawajapata goli hafu nje kina paulinho, firmino na etc..... Tuendelee kuomba Mungu tu maana mpunga nilioweka hapa ni balaa