Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa kwa brazil nimeanza kuwa na mashaka maana half time hawajapata goli hafu nje kina paulinho, firmino na etc..... Tuendelee kuomba Mungu tu maana mpunga nilioweka hapa ni balaa
BET WON kachukue iyo pesa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…