Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah hawa sdyney sio watu wazuri kabisa.....

Siku ukiwapa wasitoe corner wanazipiga mpaka unashangaa....

Na siku ukiwapa watoe corner hata mbili hawatoi kabisa [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…