Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ooh, nahs utakua unamaanisha

"currency"

Refresh kwanza hiyo page, kisha

Check kwny drop down menu, kisha shuka chini mpaka uifikie "Tanzania Shillings"

NB: Tumia fast registration kwa urahisi zaidi
asante ngoja nifanye hivyo
 
Wadau kuna yeyote yule yupo in play south america muda huu !?
 
Nataka nitafute mtaji kwa kutembelea [emoji93] ya mtu cz hali ni mbaya sana wekeend hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…