Boro Nanga
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 299
- 196
nenda kwenye app y premier chni kbisa utaona kuna email n whtsapp chagua moja kuwacliana nao au waambie wakupe chako email yao supporttnz@premierbet.comWenye uzoevu na Premium bet wanijuze tafadhali maana nimewala tangu Jana hawnipi changu up to now!
Pole sana...kwangu barca alikuwa si chaguo kabisa na niliheshimu hisia zangu kutomuweka.Mkuu hili Kokolo nilikuafa
Sawia na Timamu kabisa .
Nkachukua Timu 12 zenye Odds 717+
Nkatia Stake ya 5000.
Qumermermnyake
Kwa Bahati Barca Kaenda nayo.
hawalipi siku za wkend mpka kesho napo unaeza kuta wakasingizia sikukuu...Wenye uzoevu na Premium bet wanijuze tafadhali maana nimewala tangu Jana hawnipi changu up to now!
Kulipa unakomaanisha hapa ni kupi Mkuu?.kutoa pesa au kuweka hela kweny acc balance after winning?.hawalipi siku za wkend mpka kesho napo unaeza kuta wakasingizia sikukuu...
Naona umekuja kuringishia..😵😵😵
Hawazingui, Ila nyie ndo hamjui utaratibu wao.AISEE HATA MM MKUU NAONA WANAZINGUA SANA HAWA JAMAA HATA SIWAELEW KABISA TANGU JANA SAA 12View attachment 731007
imethibitishwa umepokea 500000 kutoka premier bet....Kulipa unakomaanisha hapa ni kupi Mkuu?.kutoa pesa au kuweka hela kweny acc balance after winning?.
Duuuh Shukran Mkuu,jibu lako limeniwazisha sana kupata maan yake,ila nimeelewa!!.imethibitishwa umepokea 500000 kutoka premier bet....
Hapana Mkuu siongelei kutoa pesa may be kutoka kwao kwenda either Tigo/Mpesa account, naongelea kuweka kweny Account Balance!!.Hawazingui, Ila nyie ndo hamjui utaratibu wao.
Weekend hawatoi Hela.
hiyo baada ya mechi kuisha wanaweka laba kama kuna mechi imeahirishwa au kusogezwa mudaHapana Mkuu siongelei kutoa pesa may be kutoka kwao kwenda either Tigo/Mpesa account, naongelea kuweka kweny Account Balance!!.
Duuuh...! Hapo mzee, wasiliana nao kwa EMAIL au Kawaida au FB.Hapana Mkuu siongelei kutoa pesa may be kutoka kwao kwenda either Tigo/Mpesa account, naongelea kuweka kweny Account Balance!!.
AISEE HATA MM MKUU NAONA WANAZINGUA SANA HAWA JAMAA HATA SIWAELEW KABISA TANGU JANA SAA 12View attachment 731007
Jana nimetoa1xbet kuna aliyetoa leo na jana. Sipati texts tangu jana.
Nimejaribu kutoa ila sipati confirmations sms. Shida itakuwa wapi mkuu!?Jana nimetoa