Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1-15 min handicap imepewa (0.0) wakati nilizoea kuona -1 au +1
sasa ili uwe umeshinda ndani ya hizo dakika inatakiwa iweje?
View attachment 740174
OK!

Nmekuelewa.

Hiyo handicap ya 1-15 min (0.0)

Maana yake ni kwamba, ukiichagua kwa Team 1

hiyo timu imepewa magoli 0.0

Hivyo ni lazima ishinde mechi mpaka kufikia DKK ya 15 kwa kufunga idadi kubwa ya magoli zaidi ya mwenzie.
Hapo itasomeka " BET WIN"

Ila endapo itafika mpk DKK ya 15 haijafunga goli lolote, ikatoa sare ya 0:0 au imepoteza mechi kwa bila kufunga goli lolote.
Hapo itasomeka "Bet Lost"

Ila endapo itafka DKK ya 15, haijashinda mechi ila ilifunga goli lolote.
Hapo itasomeka "Refund", utarudishiwa stake yako.

Natumai umeniewa,
Kama kuna La ziada uko huru unawz kuuliza tena.
 
yaani mkuu umefafanua zaidi hata ya watoa huduma wa hiyo site asante sanaaa
 
 
Aston Villa v Cardiff

Aston Villa now at 4th position and
Cardiff City at second place. If
Aston Villa want pursue straight
promotion, I think this is the only
their chance to get closer. If they
lose today, Aston Villa will only get playoff promotion ticket. Aston Villa
should use their advantage today
play at home. The problem is
Cardiff City never lose their last 6
away games so far. Of course they
want continue it and get closer promotion next season. I believe
Aston Villa will try press and push
their opponent since start today. I
hope two teams can score today
and one of them will win this match
no matter which team.

Bookmaker wangu kaipa odds 2 kuna la kuongeza?
 
Dah ***** sijui uchawi hawa wanathaland ht 0-0 nishakata tamaa nakuja kucheki bet won game eti imeisha 6-2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…