Dah Mzee nimefanikiwa kuona aisee ngoja niamini kuwa Mungu yupo nitaplace Bet.Hongera kwa kutumia muda wako....cheki hiii SUTQH nimepunguza baadhi ya timu
Mkuu mbona unalalamika kama anakutumia Inbox, hapa kuna watu wengi kama wewe hazikusaidii wengine zinatusaidia.Ni Kweli kabisaa! Tuma mikeka, usitume Haya matakataka ! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Narudia tena Tuma mikeka USIFORWARD haya matakataka
Mzee una hatari Odds milioni 4001AQQH kwa wale wa 1xbet mnaweza kucheki hii, huu ni mkeka nimeutengeneza nimechagua timu kibao, kila mmoja anaweza kwenda kuangalia na kusare chochote nini tuongeze au tupunguze katika mioodds hii..
Pamoja sana mpwaaaaHahahaaaaaaa uwiiiiiimbavuuzanguuu MPWAAAAAA hakunajinsiiilazimaa inabidi jioni tuwaonyeshe UBORA wake
Thx mpwaa
Ndio hivyo na wewe unaichakata kutafuta wasalati then unasave unatupia code na sisi tuchungulie then tunajilipua tunasubiri green Mungu akijaliaDah Mzee nimefanikiwa kuona aisee ngoja niamini kuwa Mungu yupo nitaplace Bet.
Aiseeee umemuumbua ile mbaya mwisho wa ubaya ni aibuNIKIWAMBIAAA HAWA MABWEGE WAMEJAA MATAKATAKA KICHWANI MSIWAJIBU NAMAANISHAAA.ANGALIA HUYU MWINGINEE ANAPIGA KELELE TA MATAKATAKA ANAKUJA INBOX KUOMBA LINK YAMATAKAAATAKAAAA...TENAA ANAGAWA NA NAMBAA KABISA
View attachment 755134 View attachment 755135 SIUJINGAA HUUU.SAMAHANI SIKUTAKIWA KUWEKA WAZI INFO ZA NBOX INABIDI TU TUFUKUE MAKABURI MAISHA YAENDELEE
Kaka kua mtu mzima huo sas unaoufanya ni utotooUnapost inbox unafikiri unaniabisha [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] Hivi kuna mtu humu anaenijua humu? Tulia kijana sindano . ikuingie taratibu hata ukinuna! Hayo ni MATAKATAKA .....Message delivered.,,,
Bwegeehuyuuu hanagaa kumbukumbuuAiseeee umemuumbua ile mbaya mwisho wa ubaya ni aibu
Hata wewe pia ni TAKATAKABwegeehuyuuu hanagaa kumbukumbuu
Poa poa mkuu!!Hongera kwa kutumia muda wako....cheki hiii SUTQH nimepunguza baadhi ya timu
Nenda katika bet slip bofya kidubwasha juu pale itakuja option ya downoad n save we tupia hizi code halaf download.Mzee hiyo code naweka wapi ili kuona ulichobet?
Ndio tushirikianr tu katika kumla muhindi.. Hapo we weka unazoona sahihi ama punguza unazohisi ni chenga kisha weka hapa mpaka na mwingine nae hvyo hvyo, tunashauriana kisha tunaweka pesa, ni majaribio tu ya kumuumiza muhindi mkuu..Mzee una hatari Odds milioni 400