Mkuu umzionea wapiDah Mzee nimefanikiwa kuona aisee ngoja niamini kuwa Mungu yupo nitaplace Bet.
Hebu nisaidie na Mimi hapoMzee hiyo code naweka wapi ili kuona ulichobet?
Nenda katika bet slip bofya kidubwasha juu pale itakuja option ya downoad n save we tupia hizi code halaf download.
Soma hapo juu.Mkuu umzionea wapi
We Jamaa unatukosea wengi ujue, hayo hayo unayosema takataka ndo yanatufanya tutambe mtaaniHata wewe pia ni TAKATAKA
Sorry mkuu kumbe na wewe ni mdau wa MATAKATAKAWe Jamaa unatukosea wengi ujue, hayo hayo unayosema takataka ndo yanatufanya tutambe mtaani
Sio Mimi tu, hata wewe ni mmoja Wapo, Tengua kauli Mkuu.Sorry mkuu kumbe na wewe ni mdau wa MATAKATAKA
Nilikuwa mdau enzi hizo naziita tips! Ila baada ya kustuka nimeona niyaite matakataka! Ila sijawakataza kuyafataSio Mimi tu, hata wewe ni mmoja Wapo, Tengua kauli Mkuu.
Aya bn, Pdidy endelea kushusha vitu tuchambue..Nilikuwa mdau enzi hizo naziita tips! Ila baada ya kustuka nimeona niyaite matakataka! Ila sijawakataza kuyafata
Bet woooonkenikia no 2 (Odds 4+)
View attachment 755125
Bet woonKenikia no 1 safe kwangu (odds-2.42)
View attachment 755123
Mkuu Hayo matakataka kwe2 ni dhahabu....Nakuheshm sana mkuu PDDYSorry mkuu kumbe na wewe ni mdau wa MATAKATAKA
Aliyeona najua familia inafurahi baba anarudi na ndoo ya samaki sato kubwa ..Kenikia no 1 safe kwangu (odds-2.42)
View attachment 755123
Karibu mkuu..Bet woooon
Ahsantee mkuu...