Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yule jamaa mwingine yuko wapi? Naye alikuwa anaweka MA stake makubwa mnoo, ghafla amepotea humu jamvini.. Nicho gundua mtu akipigwa haweki..
Hahahahaa inategemea mkuu na strategy ya mtu alojipangia
 
Yule jamaa mwingine yuko wapi? Naye alikuwa anaweka MA stake makubwa mnoo, ghafla amepotea humu jamvini.. Nicho gundua mtu akipigwa haweki..
void ab nani sijui nae hakua mpenzi wa makokoro ila saiv naona amekuwa muumini wa hayo makokolo sijui wamefanyanaje na kanjibah huko
 
Sasa hebu angalia kama huu wameshindwa kufikisha hata vikapu 40 na mimi nimewapa chini ya vikapu 51 so nafunga hesabu yangu kafaida kilo na upuuzi basi hadi kesho jifunzeni jamani basketball nawahamasisha kuweka mikeka hyo sio football tu hata huku inawezekana faida kilo tena within a minutes what a business
 
void ab nani sijui nae hakua mpenzi wa makokoro ila saiv naona amekuwa muumini wa hayo makokolo sijui wamefanyanaje na kanjibah huko
yeah, huyo huyo mkuu. alikuwa anatupia kilo tano.. ukute alitupia mil 1,akapigwa akaamua kuacha.. Just kidding
 
Leo nimeenda na corners tu kila timu kubwa leo ifungwe kona zaidi ya 4
 
Huyu Monaco anaposses mpira kwa 65% lkn 0 shot on target na Falcao wao ... grrrrrrrr! Anaweza akatulaza mapema huyu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…