Sam kapile
Senior Member
- Aug 7, 2018
- 159
- 59
Daaah sie wengine tunapigwa hadi tusha zoeaSasa kama mimi hapa mi natumia faida yao nikipigwa basi nisipopigwa namshukuru Alah
Hahaha mbavu zangu betting haina mzoefuyeah, huyo huyo mkuu. alikuwa anatupia kilo tano.. ukute alitupia mil 1,akapigwa akaamua kuacha.. Just kidding
Mkuu Mimi nliapa hapa tarehe 21 kuwa sitakuja kumuweka tena sijui leo nikakumbwa nann dahYaan huyu monaco nilishampiga ban lkn leo nashangaa kitu gani kimenishawishi kumjumuisha kwenye mkeka
yaan kakomba mtaji nyau huyuMkuu Mimi nliapa hapa tarehe 21 kuwa sitakuja kumuweka tena sijui leo nikakumbwa nann dah
Katokaje?yaan kakomba mtaji nyau huyu
Nakumbuka!Mkuu Mimi nliapa hapa tarehe 21 kuwa sitakuja kumuweka tena sijui leo nikakumbwa nann dah
kagongwa 1-0Katokaje?
Kwasababu umemuona yuko kwaoYaan huyu monaco nilishampiga ban lkn leo nashangaa kitu gani kimenishawishi kumjumuisha kwenye mkeka
mm game ya kwanza ndo huyo ya Monaco inanipa na usingizi...yaan kakomba mtaji nyau huyu
Mimi baada ya kuona wadau wamempa over 2.5 nakaona nimpe over 1.5 kumbe ovyo tuNakumbuka!
mie nimemwepuka kabisa
Asee, Daah! Kazingua sana. Sijamini macho yangu, kashindwa kutoa hata Droo!Duuh hata Double Chance nliyomuomba imemshinda mamaeee.