Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hizi kazi ni ngumu sana ni mwezi wa 3 Huu nimejipa likizo kwanza
 
Huyu kocha wa bayern msengesana anatest vikosi hajui kama watu tumewekeza pesa mingi tu,yani kaniboa kweli ukiangalia h2h za timu hizi haijawahi kutoka draw leo tu kisa tumeweka pesa wapuuzi wanaonyeshana makalio tu uwanjani kama wanawake vile,betin inahitaji moyo aisee,pamoja na kuhamia mbet leo tu napokea kipigo kitakatifu,dah bora pesa yangu ningeagiza balimi tu[emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]
 
Daah hii kazi imenishinda jamani...imekua ngum mno!
Man u kapigwa,bayan kadroo,daah kama ni siku muhindi kala hela zetu basi ni leo....sjui nliwashwa nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…