Daaah kwel usemayo
Badili mbinu Mkuu....ukiona kila siku una deposit stuka aiseeKanji anakukomaa mkuu... Laki kilaa siku[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Wengine kazi kudeposit tu daily
10zawaziiiiiiiOGOPAAA ODDA TUMEET KWAMHINDI
*MY RESERVE....ONE HAVE STARTED THE LAST ONE FREE*
++++++++++++++++
League :Switzerland
Time: 13.30
Match : Chiasso - Lausanne
Tip : 2 / 2 (HTFT)
Odds : 4.20🍏🍏🍏🍏🍏
++++++++++++++++
League: Austria LIG
Time: 17:00
Match: Sturm Graz - Salzburg
Tip: X/2 HT-FT
Odd: 5.00🍏🍏🍏🍏🍏
Cash out 🤑🤑🤑🤑🤑🤑🤑
BOOOOPOM
Halafu mtu wa nafasi ya 2 na 3" unaweza sema hii under kumbe huyo Royal naona goli zke zina point 2+:toka half timeDuuh, hii matchView attachment 890165
Izi accumulator ni mpaka wahakiki mara mbili bili ndo wanalipa sema hapo naona -corner psgView attachment 890161
Hivi hii mechi si nimemla hapa au?maana naona bado hajanipa win yangu wala kujazia salio
Duuuuh stake milioni we utakua jini mkuu[emoji344] [emoji350] [emoji350] [emoji91] [emoji91] View attachment 890148
Mkuu badili gia, zama in play ukiliwa Mara tatu unakula Mara sita.Ngoja nijipe likizo ya miez miwili maana sio kwa kipigo nacho kipata japokua muhind na mrusi nawadai ngoja tu wanitunzie pesa zangu yan daily mech moja zinaniua si basketball, si football, si nn chakushangaza naweka mech tu chache zenye Jumla ya odd 3 had 2 lakin duuuh aya bhana salute [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Tehtehteh watu wana stake milioni kumi.Duuuuh stake milioni we utakua jini mkuu
PSG kapata kona mbiliView attachment 890161
Hivi hii mechi si nimemla hapa au?maana naona bado hajanipa win yangu wala kujazia salio
Mkuu naona account yako itafungwa. Nimekutaarifu mapema tuuTukutane Sheli.View attachment 890193