Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nenda top up account, chagua tigo pesa hlf ingiza kiasi cha fedha na namba yako ya tigo. Subiria msg ya Beyonic kwenye simu yako hlf fuata maelekezo ya kudeposit km unavyofanyaga na namba yako ya voda
Whaaaaaaat!!!!!!!
Hili tango pori umelidhamiria au?
 
Umekiona hiki ulichomjibu huyu jamaa?swali lake na jibu viko tofauti ndo maana nikakuuliza ulidhamiria au bahati mbaya??View attachment 899645

Nadhani wewe ndiyo huelewi au una uoga uliopitiliza.... 1xbet namba unayoifanyia muamala ni ile unayoijaza pale kwenye kiasi na namba baasiii haina uhusiano na namba iliyotumika kusajilia akaunti.

Hamna tango pori, nipo sahihi 100% na binafsi nimekuwa nafanya miamala kwa namba tofauti tofauti tu.
 
Ok Mkuu vizuri binafsi sijawahi kuutumia huo mfumo ndo maana nilishtuka,
 
Huku sasa ndo tunaita kuitest hela yako halafu ikikwama tunaanza kuwalaumu watu wkt mengine tunayajaribu sie wenyewe

Kwanini msimshauri akabadili namba ktk utaratibu wa kawaida kuliko hicho mnachomuelekeza?
Ndio utaratibu Mkuu, wala haina shida. Ukisha bonyeza top up na ukajaza kiasi unachotaka kuweka, then subiria msg ktk mtandao wako then endelea na taratibu za kutuma kama msg ya Beyonic inavyoelekeza, thus all
 
Mkuu bachelor sugu hata hela ikikwama ni wajibu wao kurudisha...Sisi wateja ndio Mabosi wao.

Binafsi huwa sipendi kusikia lugha ya nimekosea...Yeah nikikosea ni wajibu wao kurekebisha Sababu wananikata hela ya kunihudumia.
Huku sasa ndo tunaita kuitest hela yako halafu ikikwama tunaanza kuwalaumu watu wkt mengine tunayajaribu sie wenyewe

Kwanini msimshauri akabadili namba ktk utaratibu wa kawaida kuliko hicho mnachomuelekeza?
 
Time 13:00 & 13:30

Play double
Tokushima gg odd 1.75
Japan vs Uruguay gg odd 1.75

Total odd 3+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…