[emoji23] refa kabeti mzee hii ilikua pesa kabisa yan au uchawi maana dk ya mwisho kabisa kma umechek mechi Mourinho mwenyew kapagawa yani refa kaua mazimaUkomee mzee baba yani nimekucheka kinyama
HahahahahaAlidhani weye mrombo ?
Nliona single itachelewa kudownload pesa nyingi [emoji3]Unge play single mkuu
Umebet vp mbn matokeo yote wametoa kasoro ushindi tuHawa Chelsea na Man U shenzi sana
Hahaha mkuu pole...imekuwa kama greenwich meridian...pole sana..Wamegawanisha mkeka kati
Namuona anachanROMA,ROMA,ROMA!!.
Ulimpa chesi???Chelsea keshanichania mpuuz huyu!
Cha 2 MkuuNamuona anachan
Roma anaweza kurudi mkuu tuendelee kuwa na uvumilivuDaah Roma kapigwa la pili
Nilimpa aiseeUlimpa chesi???